Baraza la Usalama la Moja wa Mataifa leo limekutana kwa dharura mjini New York kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya mji ...
Hakukuwa na maoni ya mara moja kutoka kwa jeshi la Israeli. Hata hivyo, matukio hayo yanakuja saa chache baada ya baraza la mawaziri la usalama la Israel kufanya kurejea salama kwa wakaazi ...
Nchini Burundi, baada ya miaka mingi ya udhibiti mkali wa bei ya sukari inayozalishwa na kampuni ya ndani, Société Sucrière ...
Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni imepangwa katika kundi la vigogo kwenye fainali za Afrika za soka la ufukweni ...
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara,Kemirembe Lwota,amekutana na wazee kwa lengo la kusikiliza changamoto mbalimbali ...
"Ninajiuzulu wadhifa wangu kama Kamishna wa Ulaya, mara moja," amesema Thierry Breton katika barua aliyomuandikia Ursula von der Leyen iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa X. Thierry Breton ...
MAMBO ni moto. Huko kwenye Ligi Kuu England kumekucha na balaa litakuwa uwanjani Etihad, kesho Jumapili wakati Manchester ...
Crypto stocks like Riot Platforms (RIOT), MicroStrategy (MSTR), exchange platform Coinbase (COIN), and bitcoin miner Marathon Digital (MARA) are climbing higher Thursday morning. Morning Brief ...
Baraza la Mawaziri lilisema "serikali ianza mara moja kufanya mawasiliano yote muhimu na nchi nyingine na Umoja wa Mataifa ili kuiwajibisha (Israel) kwa uhalifu huu unaoendelea." Israel bado ...
Serikali ya Kenya imeweka lengo la kupanda miti bilioni 15 katika kipindi cha miaka 10 ijayo, ikiwa ni sehemu ya mapambano ...
Kanisa hilo lenye usajili wa jina la ‘ Free Pentekoste Church’ pamoja na ‘Wave of God Worldwide’ yamefungwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa kupisha uchunguzi wa nani hasa mwenye haki ...
Licha ya Harmonize kutajwa kuwania vipengele saba Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2023, huenda akakutana na yale ya Beyonce ...