Zanzibar inakuwa ni ya pili katika ukanda wa Afrika kuanzisha ufugaji wa viumbe bahari wakiwemo hawa majongoo bahari kufugwa,ambapo nchini Madagascar miradi ya namna hiyo imepiga hatua kubwa sana ...