Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake vikiwa vimenyofolewa ...
Uanzishaji wa viwanda vya kurejeleza vyuma na kutengeneza bidhaa mbalimbali zikiwamo nondo, umeongeza mahitaji ya chuma ...
Abiria 14 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Kigoma na Dodoma kugonga treni ya ...
Wataalamu wa saikolojia tiba wamesema ongezeko la matukio ya kuua, kujiua na changamoto ya afya ya akili miongoni mwa wanaume ...
Wakati watahiniwa 557,731 kesho Jumatatu Novemba 11, 2024 wataanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne, Baraza la Mitihani la ...
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Lameck Mpembe, mkazi wa kijiji cha Namansi, Wilaya ...
Mfanyabiashara na mkazi wa Mji mdogo wa Tunduma, Ombeni Sanga (30) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuendesha gari kwa ...
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru unatarajiwa kuzikwa Ijumaa, Novemba 15, 2024 katika ...
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amesema wanawake wanapaswa kuwa mstari wa mbele kupigania ...
Katika utetezi wake, mhadhiri amedai kuwa mwanafunzi huyo alikuwa ni mpenzi wake wa muda mrefu na kwamba alifanya mapenzi ...
Wakati huo hakuwa na nyumba wala gari, alikwenda kama alivyo na kueleza hisia zake kwa binti wa mwenye nyumba na kumuomba ...