Profile Picture
  • All
  • Search
  • Images
  • Videos
  • Maps
  • News
  • More
    • Shopping
    • Flights
    • Travel
  • Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
  • Length
    AllShort (less than 5 minutes)Medium (5-20 minutes)Long (more than 20 minutes)
  • Date
    AllPast 24 hoursPast weekPast monthPast year
  • Resolution
    AllLower than 360p360p or higher480p or higher720p or higher1080p or higher
  • Source
    All
    Dailymotion
    Vimeo
    Metacafe
    Hulu
    VEVO
    Myspace
    MTV
    CBS
    Fox
    CNN
    MSN
  • Price
    AllFreePaid
  • Clear filters
  • SafeSearch:
  • Moderate
    StrictModerate (default)Off
Filter
#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Chama cha ADC, Amin Yango, amezua kicheko Bungeni baada ya kujibu kwa utani swali la Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku (Msukuma), aliyemuuliza kuhusu mavazi aliyovaa na kumjibu kuwa, "Kiongozi lazima uwe smati kwa hiyo isikuhadae rangi Mhe.Msukuma jirani yangu utamu wa chai sukari", majibu hayo yaliibua vicheko ndani ya Bunge. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pe
1:07
#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Cham…
490.6K views1 week ago
FacebookITV Tanzania
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mh. Ado Shaibu Ado amembana Mbunge wa Ilala, Hassan Zungu juu ya nafasi ya Bunge atakaloliongoza katika kuimarisha demokrasia nchini Tanzania hasa kwa kufufua mchakato wa Katiba Mpya. Akijibu swali hilo Zungu baada ya kujinadi kuomba nafasi ya uspika, amesema Bunge atakaloliongoza litasimamia haki za wananchi na kusimamia ahadi ya Serikali ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -📱Tuma 1000 kupitia Airtel
1:07
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mh. Ado Shaibu Ado am…
299.1K views1 week ago
FacebookITV Tanzania
#HABARI: Mara baada ya kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu mteule leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchema amepewa nafasi ya kuzungumza bungeni kwa mara ya kwanza ambapo pamoja na mambo mengine, amezungumzia suala la ofisi za umma kwamba atahakikisha zinawasikiliza Watanzania hasa wa hali ya chini. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital
0:45
#HABARI: Mara baada ya kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu m…
435.9K views5 days ago
FacebookITV Tanzania
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameiagiza ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) kuchuja makosa ya vijana waliojihusisha na vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ili wale waliofuata mkumbo wazungumze nao kisha wawaachie. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdate
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Sami…
428.8K views4 days ago
FacebookITV Tanzania
الفيديو نزل الساعه 7😍شوفتو الساعه كام🔥 | ويكا - weka
الفيديو نزل الساعه 7😍شوفتو الساعه كام🔥 | ويكا - weka
6.5K views1 day ago
Facebookويكا - weka
#HABARI: Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameteuliwa kuwa Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora huku Naibu wake akiwa Regina Ndege. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. | ITV Tanzania
0:49
#HABARI: Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameteuliwa ku…
55.4K views1 day ago
FacebookITV Tanzania
Oyaaaa AKOTHEE POD PEK MELI ONDISORE NYAR AGWAMBO WINNIE . Ma Akothee nyar kadero chumbi chio ,kama otione ema otuche. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sani Otuone BONDO. Subscribe to my YouTube channel Winnie Chogo On the beats . KAMA FIRE WEKA MOTOOO | Akothee
1:10
Oyaaaa AKOTHEE POD PEK MELI ONDISORE NYAR AGWAMBO WIN…
8.6K views3 days ago
FacebookAkothee
1:07
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekabidhiwa …
44.1K views1 day ago
FacebookITV Tanzania
0:57
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Sami…
27.3K views1 day ago
FacebookITV Tanzania
See more videos
Static thumbnail place holder
More like this
Feedback
  • Privacy
  • Terms